Feisal Salum (alizaliwa 11 Januari 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania.

Ameanza kucheza mpira akiwa na miaka 17. Alianza kuchezea timu ya mtaani katika michuano ya"Ramadhan Cup"baada ya michuano alifanikiwa kwenda kuchezea katika timu ya Young Africans S.C. Pia aliwahi kucheza timu moja na mchezaji Haruna Niyonzima wa Rwanda kwa sasa ni mchezaji wa Azam.[1]. Jina lake la umaarufu anajuulikana kama "Feitoto"[2]

Kimataifa hariri

Mwaka 2017 alicheza kombe la CECAFA Cup akiwa na timu Tanzania visiwani (Zanzibar national football team). Mwaka 2018 aliichezea timu ya taifa ya Tanzania.[3]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Feisal Salum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.