Felix Kipatarus Koskei (alizaliwa 1964) ni mkenya ambaye aliteuliwa na rais Uhuru Kenyatta kama katibu wa baraza la mawaziri wa kilimo, mifugo na uvuvi tarehe 25 Aprili 2013.[1] Kwa sasa ni mkuu wa utumishi wa umma katika ikulu ya rais William Ruto.

Marejeo

hariri
  1. "Felix Koskei CV". Nairobi: State House. 25 Aprili 2013. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)