Felix Nmecha

Mchezaji wa chama cha soka cha Ujerumani

Felix Nmecha (alizaliwa 10 Oktoba 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Felix Nmecha akichezea Borussia Dortmund mnamo 2023

Marejeo

hariri
  1. "2020/21 Premier League squads confirmed". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Felix Nmecha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.