Femtomita (ing. femtometer, alama fm[1][2][3]) ni kipimo cha SI cha kutaja urefo mdogo wa 10−15 mita.

Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomi na chembe zake.

Kipenyo cha protoni ni takiban femtomita 1.7 [4]. Kipenyo cha kiini cha atomi cha dhahabu ni takriban femtomita 8.45.

Neno latokana na lugha ya (Kidenmark: femten (kumi na tano). Umbali huu unaweza pia kuitwa fermi kwa heshima ya mwanafizikia Enrico Fermi.

Ulinganifu hariri

femtomita 1 = 1.0 x 10−15 mita = 1 fermi = 0.001 pikomita = 1000 attomita

1,000,000 femtomita = 1 nanomita = 10 Ångström.

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-23. Iliwekwa mnamo 2014-07-08. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-09. Iliwekwa mnamo 2014-07-08. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-25. Iliwekwa mnamo 2014-07-08. 
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-23. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.