Ferdoos Mohammed
Muigizaji wa Misri
Ferdoos Mohammed (13 Julai 1906 - 22 Septemba 1961) [1] alikuwa mwigizaji kutoka Misri, maarufu kwa kucheza jukumu kama mama au mwanamke wa sura ya mama kwenye filamu za Kimisri miaka ya 1940.
Ferdoos Mohammed | |
---|---|
Amezaliwa | Ferdoos Mohammed (13 Julai 1906 Misri |
Amekufa | 22 Septemba 1961) |
Kazi yake | Mwigizaji kutoka Misri |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ferdoos Mohammed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |