Wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.

Kila mtu ana wajibu wake, hata kama ni baba wa familia.

Mifano ya wajibu:

  • kwa baba:
  • kulinda familia yake
  • kusomesha watoto wake
  • kufanya kazi kwa bidii
  • kwa mama:
  • kumsaidia baba kazi
  • kuwapa watoto upendo, kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
  • kufanya kazi