Fidia ya kifedha
Fidia ya kifedha inamaanisha kitendo cha kumpatia mtu pesa au vitu vingine vyenye thamani ya kiuchumi badala ya bidhaa zake, malipo ya kazi aliyofanya, au kulipia gharama za hasara ambayo amepata.
Aina ya fidia ya kifedha ni pamoja na:
- Uharibifu
- Fidia ya utaifishaji (inayolipwa kukitokea kutaifishwa kwa mali)
- Malipo
- Ujira
- Fidia iliyoahirishwa
- Fidia ya wafanyakazi, kulinda wafanyakazi ambao wamepata majeraha yanayohusiana na kazi
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fidia ya kifedha kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |