Filotheo wa Durunka

Filotheo wa Durunka (alifariki 5 Mei 1380) alikuwa Mkopti aliyeteswa na kuuawa na Waislamu kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.

Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu mfiadini.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.