Finsteraarhorn
Finsteraarhorn ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).
Urefu wake ni mita 4,274 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Finsteraarhorn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |