Fiorenso wa Vienne

Fiorenso wa Vienne (alifariki baada ya mwaka 377) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Ufaransa) na alishiriki mtaguso wa Valence[1] wa mwaka 374[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Januari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/36200
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.