Fiorentino wa Bremur

Fiorentino wa Bremur (pia: Florensyani; alifariki katika ngome ya Bremur, karibu na Duesme, Ufaransa, 408 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa na Wavandali kwa upanga kwa ajili ya imani yake ya Kikatoliki[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini pengine pamoja na Hilari wa Bremur.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72200
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.