Fitz Roy

Fitz Roy ni mlima wa Andes katika nchi za Ajentina na Chile (Amerika Kusini).

Mlima Fitz Roy mnamo mwaka 2013

Urefu wake ni mita 3,375 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit