Frances Beinecke

Mwanaharakati wa Marekani

Frances G. Beinecke (alizaliwa mnamo 2 Agosti 1949) ni mwanaharakati wa mazingira wa Marekani. Aliwahi kuwa rais wa Baraza la Ulinzi la Maliasili kuanzia mwaka 2006 hadi 2015.

Elimu na Maisha ya Awali

hariri

Beinecke ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wanne waliozaliwa na William Sperry Beinecke na Elizabeth Beinecke.[1] Alizaliwa huko New Jersey. Mnamo 1971 alipata digrii kutoka Chuo cha Yale na mnamo 1974 alipata digrii ya uzamili ya Misitu na Mafunzo ya Mazingira kutoka Shule ya Yale.[2]

Marejeo

hariri
  1. Casselman, Ben. "William Beinecke, Patron of Central Park and Yale, Dies at 103", The New York Times, 2018-04-13. (en-US) 
  2. "After Decades in the Trenches, Beinecke Says Environmental Fight is Never Over". environment.yale.edu. Iliwekwa mnamo 2019-08-07.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frances Beinecke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.