Francis Nyalali (3 Februari 1935- 3 Aprili 2003) alikuwa mwanasheria nchini Tanzania.

Tangu mwaka 1977 hadi 2000 alikuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.

Alifariki katika mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francis Nyalali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.