Frank Lampard

Mchezaji mpira na Meneja wa Uingereza

Frank Lampard (alizaliwa Romford, London, 20 Juni 1978) ni mwanakandanda wa Uingereza na anazichezea klabu ya Kiingereza Chelsea FC na timu ya taifa ya Uingereza.

Frank Lampard
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1994–2001West Ham United148(24)
2001-Chelsea Fc363(125)
Timu ya Taifa ya Kandanda
1999Timu ya taifa ya soka ya Uingereza90(23)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).
Lampard mwaka 2017