Chelsea F.C.
Chelsea Football Club[5][6] [7][8]ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Uingereza iliyo na maskani yake Fulham, London. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1905, na kwa miaka mingi sana imekuwa ikishiriki ligi kuu ya Uingereza. Uwanja wao wa nyumbani ni Stamford Bridge ambao una uwezo wa kuingiza watazamaji 41,837, wameutumia uwanja huu tangu klabu ilivyoanzishwa.
Jina kamili | Chelsea Football Club | |||
---|---|---|---|---|
Jina la utani | The Blues The Pensioners (zamani)[1] | |||
Imeanzishwa | 10 Machi 1905[2] | |||
Uwanja | Stamford Bridge (Uwezo: 40,341[3][4]) | |||
Mmiliki | Todd Boehly Clearlake Capital Hansjörg Wyss Mark Walter | |||
Mwenyekiti | Todd Boehly | |||
Kocha | Enzo Maresca | |||
Ligi | Ligi Kuu Uingereza (EPL) | |||
Tovuti | tovuti ya klabu | |||
Mfungaji bora wa muda wote | Frank Lampard | |||
|
Chelsea, kwa mara ya kwanza ilipata mafanikio makubwa mwaka 1955, ambapo walipata ubingwa wa ligi, na walishinda mataji kadhaa katika miaka ya 1960, 1970, 1990 na 2000. Klabu hii imefurahia zaidi mafanikio katika miongo miwili ilopita, kwa kushinda mataji makubwa 15 tangu mwaka 1997.
Nyumbani, Chelsea imeshinda ubingwa wa ligi mara nne, kombe la FA mara saba, kombe la ligi mara nne, pamoja na ngao za jamii mara nne. Na kimataifa Chelsea imeshashinda UEFA Cup Winners' Cups mara mbili, UEFA Super Cup moja, UEFA Europa League mara mbili na UEFA Champions League mara mbili. Chelsea ndio klabu pekee kutoka London kushinda UEFA Champions League, na ni moja kati ya klabu nne kutoka Uingereza, kuchukua makombe yote makubwa matatu ya Ulaya.
Kwa kawaida Chelsea huvaa jezi ya bluu, kaptula ya bluu na soksi nyeupe. Nembo ya klabu imebadilishwa mara nyingi kulingana na wakati na kuboresha muonekano wa klabu. Nembo ya sasa inaonesha picha ya simba akiwa amebeba mkuki. Tangu Julai 2003, Chelsea imekuwa ikimilikiwa na bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich. Tarehe 7 Mei 2022, Chelsea ilithibitisha kwamba masharti yametimiza na kikundi kipya cha umiliki, kinachoongozwa na Todd Boehly, Clearlake Capital, Mark Walter na Hansjörg Wyss, kununua klabu hiyo.[9] Mnamo tarehe 25 Mei 2022, serikali ya uingereza iliidhinisha kuuzwa kwa Chelsea kwa £4.25bn. Mnamo tarehe 30 Mei 2022, mauzo yalikamilika, na hivyo kumaliza umiliki wa miaka 19 wa Abramovich.[10]
Wachezaji
haririKikosi cha timu ya kwanza
haririKama ilivyokuwa tarehe 10 Agosti 2022, kulingana na vyanzo mseto katika tovuti rasmi.[11]
- As of 31 August 2024[12]
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
|
|
Nje kwa mkopo
hariri- As of 31 August 2024[13]
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
Mchezaji Bora wa Mwaka
hariri
|
|
|
|
Chanzo: Chelsea F.C.
Tuzo
hariri- Ligi Kuu (6) 1954-1955, 2004-2005, 2005-2006, 2009-2010, 2011-2012, 2016-2017
- FA Cup (7) 1970, 1997, 2000, 2007, 2009, 2010, 2018
- Kombe la Ligi (4) 1965, 1998, 2005, 2007;
- Ngao ya Jamii (4) 1955, 2000,2005, 2009
- UEFA Cup Winners' Cup (2) 1971, 1998
- UEFA Super Cup (1) 1998, 1999, 2003
- Ligi ya Mabingwa Ulaya (2) 2012, 2021
- Kombe la Ulaya (2) 2013, 2020
- Full Members Cup (2) 1986, 1990
- FA Youth-cup (3) 1960, 1961, 2010
Tanbihi
hariri- ↑ "Chelsea's first cup final – a century ago". Chelsea FC. 23 Aprili 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Team History – Introduction". chelseafc.com. Chelsea FC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "General Club Information" (kwa Kiingereza). | site=chelseafc.com.
- ↑ "Premier League Handbook 2020/21" (PDF). Premier League. uk. 12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Danyal Khan, Jake Stokes (2022-05-03). "Chelsea news and transfers LIVE: Todd Boehly takeover hint, Abramovich fear". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
- ↑ Bobby Vincent (2022-05-03). "Chelsea could look to reunite Lautaro Martinez and Romelu Lukaku in the summer". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
- ↑ Luke Thrower (2022-05-04). "Glen Johnson urges Chelsea to offer Jorginho a new contract amid transfer links". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
- ↑ Luke Thrower (2022-05-04). "Chelsea bidder Lord Coe warns club to find quick takeover solution". Football.London (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
- ↑ "Club statement". www.chelseafc.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-08-13.
- ↑ "https://twitter.com/fabrizioromano/status/1531290432327634944". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-13.
{{cite web}}
: External link in
(help)|title=
- ↑ "Men: Senior". Chelsea F.C. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Men: On Loan". Chelsea F.C. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2022.{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Men: Senior". Chelsea F.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Januari 2023. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Men: On Loan". Chelsea F.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)