Fransis Bacon (22 Januari 1561 - 9 Aprili 1626) alikuwa Mwingereza maarufu upande wa falsafa, siasa, sayansi, sheria, hotuba na uandishi.

Francis Bacon alivyochorwa na Frans Pourbus (1617),Warsaw, Polandi.

Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini[1], aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa mbinu ya kisayansi wakati wa mapinduzi ya kisayansi akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.[2]

Alifariki kwa kichomi wakati wa kujaribu namna ya kutunza nyama kwa kutumia barafu.

Maandishi yake

hariri
 
Bacon, Sylva sylvarum

Kati ya yale muhimu zaidi kuna:

Tazama pia

hariri
  • Cestui que (Defense and Comment on Chudleigh's Case)

Tanbihi

hariri
  1. Birch, Thomas (1763). Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon. Juz. la 6. London: Andrew Millar. ku. 271–2. OCLC 228676038.
  2. "Home | Sweet Briar College". Psychology.sbc.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-08. Iliwekwa mnamo 2013-10-21.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri