Frederick Jacob Titus Chiluba (Aprili 30, 1943 - Juni 18, 2011) alikuwa mwanasiasa wa Zambia ambaye alikuwa Rais wa pili wa Zambia kutoka mwaka 1991 hadi 2002.

Frederick Chiluba
Mkutano kati ya Rais George H. W. Bush na Rais wa Zambia Frederick Chiluba katika Ikulu ya Marekani.Mkutano kati ya Rais George H. W. Bush na Rais wa Zambia Frederick Chiluba katika Ikulu ya Marekani.

Tarehe ya kuzaliwa Aprili 30, 1943
Tarehe ya kifo Juni 18 2011
Kazi Mwanasiasa
Mengine alikuwa Rais wa pili wa Zambia kutoka mwaka 1991 hadi 2002
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Chiluba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.