Fritz Hofmann
Fritz Hofmann (Berlin, Milki ya Ujerumani, 19 Juni 1871 - Berlin, Jamhuri ya Weimar, 14 Julai 1927) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1896 huko Athene.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fritz Hofmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |