Funmilayo Ransome-Kuti

Mkuu Funmilayo Ransome Kuti, MON ( /ˌfʊnmiˈlj ˈraensəm ˈkti/; 25 Oktoba 190013 Aprili 1978)[1] alikuwa mwalimu, mfanya kampeni za kisiasa, mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake na kiongozi wa jadi nchini Nigeria.

Chief Funmilayo Ransome Kuti MON


tarehe ya kuzaliwa (1900-10-25)25 Oktoba 1900
Abeokuta, Southern Nigeria
(now Abeokuta, Ogun State)
tarehe ya kufa 13 Aprili 1978 (umri 77)
Lagos, Nigeria
ndoa Israel Oludotun Ransome-Kuti
watoto
taaluma Educator, women's rights activist

Alikuwa mwanamke kiongozi maarufu sana kipindi chake, alikuwa mwanamke wa kwanza kuendesha gari nchini Nigeria.[2]

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Funmilayo Ransome-Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.