Future

Rapa wa Marekani

Nayvadius DeMun Cash (jina la kuzaliwa Nayvadius DeMun Wilburn; anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Future; alizaliwa Atlanta, jimboni Georgia, 20 Novemba 1983) ni mwimbaji, mwandishi, mtayarishaji wa rekodi wa Marekani aliyeshinda Tuzo la Grammy[1].

FUTURE

Alikulia Atlanta. Alianza kushiriki katika muziki kama sehemu ya ushirikiano wa familia ya Dungeon, ambako aliitwa "Future".

Baada ya kumaliza mfululizo wa mixtapes kati ya mwaka 2010 na 2011, alisaini mkataba mkubwa na lebo iitwayo Epic Records.

Mwezi Aprili 2012 alitoa albamu iitwayo Pluto.

Mwezi Aprili 2014 alitoa albamu nyingine iitwayo Honest.

Diskografia

Albamu za studio

Kandamseto

Marejeo

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Future kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.