G7
Kundi la G7 linaundwa na mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa nchi 7 zilizoendelea sana: Kanada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japani, Ufalme wa Muungano na Marekani ambao wanakutana ili kujadili hasa maswala ya uchumi. Umoja wa Ulaya pia unawakilishwa katika G7.
Kundi la nchi 7 na Umoja wa Ulaya |
---|
|
Nchi hizo zinaongoza kwa utajiri wa kitaifa, zikiwa na 64% ya utajiri wote duniani ($263 trilioni) kadiri ya Credit Suisse Global Wealth Report October 2014.[1]
Tanbihi
hariri- ↑ Credit Suisse Global Wealth Databook 2013 (PDF). Credit Suisse. Oktoba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-02-09. Iliwekwa mnamo 2015-01-31.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- G7/8 Information Centre - University of Toronto Archived 1 Mei 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |