GCompris
GCompris ni mkusanyo wa michezo ya kufunza watoto wenye umri wa miaka 2 hadi 10.[1] GCompris ya kwanza iliandikwa na lugha C na Python na ilitumia GTK+, lakini kutoka mwaka 2014 imeandikwa tena na C++ na QML na inatumia Qt. GCompris ni programu huru na wazi na inatumia leseni ya AGPL-3.0-only.
Gcompris logo (2016).svg | |
---|---|
Mwandishi wa kwanza | Bruno Coudoin |
Wandishi wa sasa | KDE, Timothée Giet and Johnny Jazeix |
Tarehe ya kwanza | Kigezo:Mwaka ya kuanza |
Imeendelea | Kigezo:Wikidata / Kigezo:Wikidata |
Lugha kompyuta | |
Mfumo wa uendeshaji | Android, BSD, Linux, macOS, Microsoft Windows |
Mazingira ya kompyuta | |
Lugha | Zaidi lugha 50 |
Aina ya programu | Programmu ya kusomesha watoto |
Leseni ya programu | Upya (Qt Quick): Kutoka 1.1: AGPL-3.0-only 0.1 to 1.0: GPL-3.0-or-later Legacy (GTK): 8.5 to 15.10: GPL-3.0-or-later 0.2.4? to 8.3.1: GPL-2.0-or-later |
Tovuti | https://gcompris.net |
Kwa lugha ya Kifaransa, jina GCompris likitamkwa J'ai compris [ʒekɔ̃ˈpʁi] linamaanisha "nimeelewa".
Historia ya kuitengeneza
haririBruno Coudoin aliandika programmu ya kwanza mwaka wa 2000. Kutoka mwanzo ilikuwa programmu huru na wazi, na iliweza kuptaikana kutoka mtandao. Watengenezaji wanapenda programmu ya kusomesha inaweza kutumikana kwa Linux. Watu wameongeza sanaa na michezo kwa GCompris, na sasa kuna mitendaji zaidi ya 150.
Tanbihi
hariri- ↑ "Why Free Software makes sense in education". Express Computer. 6 Oktoba 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Agosti 2007. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2007.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)