Gangsta's Paradise (wimbo)

"Gangsta's Paradise" ni wimbo wa rap ulioimbwa na Coolio akimshirikisha L.V.. Wimbo umetengenezwa ukiwa kama kibwagizo cha filamu ya Dangerous Minds (1995). Wimbo huu baadaye ukaja kutolewa kwenye mbili tofauti. Moja Gangsta's Paradise na Kibwagizo cha Dangerous Minds mnamo mwaka wa 1995. Coolio alitunzwa Grammy kwa ajili ya wimbo huu na albamu yake kwa ujumla. Wimbo ulipigiwa kura ukiwa kama single bora ya mwaka na tahakiki za The Village Voice Pazz & Jop.

“Gangsta's Paradise”
“Gangsta's Paradise” cover
Single ya Coolio akishirkiana na L.V.
kutoka katika albamu ya Gangsta's Paradise, Dangerous Minds OST na I Am L.V.
Imetolewa 9 Agosti 1995
Muundo CD single, cassette, 12-inch single
Imerekodiwa 1995
Aina West Coast hip hop, Gangsta rap
Urefu 4:00
Studio Tommy Boy Records
Mtunzi Coolio
Doug Rasheed
Larry Sanders
Stevie Wonder
Mtayarishaji Doug Rasheed
Certification 3x Platinum (RIAA)
Coolio single Coolio akishirkiana na L.V.
"It Takes a Thief Bitch"
(1994)
"Gangsta's Paradise"
(1995)
"Mama I'm in Love wit a Gangsta"
(1995)

Wimbo umechukua sampuli ya kiitikio na mandhari ya wimbo mzima wa "Pastime Paradise" wa Stevie Wonder (1976). Wonder aliuimba wimbo huu akiwa na Coolio na L.V. kwenye Tuzo za Billboard mnamo 1995.

Wimbo huu pia umeorodheshwa nafasi ya 69 kwenye orodha ya Nyimbo Kali za Muda Wote za Billboard[1] na single nambari moja iliyouza vizuri mwaka 1995 kwenye chati za Billboard.[2]

Mnamo mwaka wa 2008, umepewa nafasi ya 38 kwenye orodha ya Nyimbo Kali 100 za Hip Hop za VH1.

Orodha ya nyimbo

hariri
CD single
  1. "Gangsta's Paradise" — 4:00
  2. "Gangsta's Paradise" (instrumental) — 3:49
CD single bonus tracks
  1. "Gangsta's Paradise" - 4:02
  2. "Fantastic Voyage (Original Version)" - 4:05
  3. "Mama I'm In Love Wit A Gangsta (Clean Radio Mix)" - 4:09
  4. "Gangsta's Paradise (Instrumental)" - 3:50
CD maxi
  1. "Gangsta's Paradise" — 4:00
  2. "Gangsta's Paradise" (instrumental) — 3:49
  3. "Fantastic Voyage" (album version) by Coolio — 4:04

Chat na mauzo

hariri

Nafasi iliyoshika

hariri
Chati (1995/96) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart[3] 1
Austrian Singles Chart[3] 1
Belgian (Flanders) Singles Chart[3] 1
Belgian (Wallonia) Singles Chart[3] 1
Dutch Top 40[4] 1
Eurochart Hot 100 1
Finnish Singles Chart[3] 1
French SNEP Singles Chart[3] 1
German Singles Chart[5] 1
Irish Singles Chart[6] 1
Italian Singles Chart 1
New Zealand RIANZ Singles Chart[3] 1
Norwegian Singles Chart[3] 1
Swedish Singles Chart[3] 1
Swiss Singles Chart[3] 1
UK Singles Chart[7] 1
U.S. Billboard Hot 100[8] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks[8] 2
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[8] 2
U.S. Billboard Top 40 Mainstream[8] 17

Chazi-za-mwisho-wa-mwaka

hariri
Chati za mwisho wa mwaka (1995) Nafasi
Australian Singles Chart[9] 1
Belgian (Flanders) Singles Chart[10] 4
Belgian (Wallonia) Singles Chart[11] 6
Dutch Top 40[4] 23
French Singles Chart[12] 7
U.S. Billboard Hot 100[13] 1
End of year chart (1996) Position
Austrian Singles Chart[14] 6
Belgian (Flanders) Singles Chart[15] 16
Belgian (Wallonia) Singles Chart[16] 8
Swiss Singles Chart[17] 15

Thibitisho

hariri
Nchi Thibitisho Tarehe Thibitisho la mauzo
Austria[18] Platinum 8 Januari 1996 30,000
Germany[19] 2 x Platinum 1996 1,000,000
Netherlands[20] Platinum 1995 60,000
Norway[21] 4 x Platinum 1996 40,000
UK[22] Platinum 1 Novemba 1995 600,000
U.S.[23] 3 x Platinum 23 Februari 1996 3,000,000

Marejeo

hariri
  1. Billboard.com - Billboard's Greatest Songs of All Time
  2. [1]
  3. 3.00 3.01 3.02 3.03 3.04 3.05 3.06 3.07 3.08 3.09 "Gangsta's Paradise", in various singles charts Lescharts.com (Retrieved 21 Februari 2008)
  4. 4.0 4.1 "Single top 100 over 1995" (PDF) (kwa Dutch). Top40. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (pdf) mnamo 2011-12-06. Iliwekwa mnamo 19 Aprili 2010. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. "Coolio singles, German Singles Chart" (kwa German). musicline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-01. Iliwekwa mnamo 19 Aprili 2010.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  6. Irish Single Chart Irishcharts.ie (Retrieved 21 Februari 2008)
  7. "Gangsta's Paradise", UK Singles Chart Chartstats.com (Retrieved 4 Agosti 2008)
  8. 8.0 8.1 8.2 8.3 Billboard Allmusic.com (Retrieved 4 Agosti 2008)
  9. 1995 Australian Singles Chart aria.com (Retrieved 20 Aprili 2008)
  10. 1995 Belgian (Flanders) Singles Chart Ultratop.be (Retrieved 20 Aprili 2008)
  11. 1995 Belgian (Wallonia) Singles Chart Ultratop.be (Retrieved 20 Aprili 2008)
  12. 1995 French Singles Chart Disqueenfrance.com Ilihifadhiwa 7 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. (Retrieved 30 Januari 2009)
  13. "Billboard Top 100 - 1995". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-15. Iliwekwa mnamo 2010-08-27. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20090815124541/http://longboredsurfer.com/charts.php?year= ignored (help)
  14. 1996 Austrian Singles Chart Austriancharts.at (Retrieved 20 Aprili 2008)
  15. 1996 Belgian (Flanders) Singles Chart Ultratop.be (Retrieved 20 Aprili 2008)
  16. 1996 Belgian (Wallonia) Singles Chart Ultratop.be (Retrieved 20 Aprili 2008)
  17. 1996 Swiss Singles Chart Hitparade.ch (Retrieved 20 Aprili 2008)
  18. Austrian certifications ifpi.at (Retrieved 1 Agosti 2008)
  19. German certifications musikindustrie.de (Retrieved 4 Agosti 2008)
  20. Dutch certifications nvpi.nl Ilihifadhiwa 14 Mei 2011 kwenye Wayback Machine. (Retrieved 9 Desemba 2008)
  21. Norwegian certifications Ifpi.no Ilihifadhiwa 10 Mei 2011 kwenye Wayback Machine. (Retrieved 4 Agosti 2008)
  22. UK certifications Bpi.co.uk Ilihifadhiwa 6 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine. (Retrieved 4 Agosti 2008)
  23. U.S. certifications riaa.com (Retrieved 4 Agosti 2008)

Viungo vya Nje

hariri