Gangwon-do
Gangwon-do (강원도 au 江原道) ni mkoa wa Korea Kusini. Mji mkuu ni Chuncheon (춘천시 au 春川市).
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gangwon-do kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |