Gani Oladimeji Lawal Jr

Gani Oladimeji Lawal Jr. (alizaliwa Novemba 7, 1988) ni mtaalamu wa mpira wa kikapu mwenye asili ya Marekani na Nigeria mpira wa kikapu anayeichezea timu ya Krka tokea Slovenian League. Pia aliwahi kuchezea timu ya chuo cha Georgia Tech. [1] [2]

Tanbihi

hariri
  1. https://www.aba-liga.com/player.php?id=3406
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-26. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gani Oladimeji Lawal Jr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.