Garth Owen-Smith

Msanii wa Namibia

Garth Owen-Smith (1944 [1] – 11 Aprili 2020) alikuwa mwanamazingira wa Afrika Kusini, raia wa Namibia. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka 1993, kwa pamoja na Margaret Jacobsohn, kwa juhudi zao za kuhifadhi wanyamapori nchini Namibia, ambapo uwindaji haramu ulikuwa unatishia viumbe kama vile tembo, simba na vifaru weusi. [2]

Alitunukiwa Tuzo ya Global 500 Roll of Honor mwaka wa 1994. [3]

Marejeo hariri

  1. "Namibia´s Father of Integrated Conservation: Garth Owen-Smith". 
  2. "Africa 1993. Margaret Jacobsohn & Garth Owen-Smith. Namibia. Sustainable Development". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 June 2011. Iliwekwa mnamo 5 January 2011.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Garth Owen-Smith and Margaret Jacobsohn". global500.org. Iliwekwa mnamo 19 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)