Gasherbrum I ni mlima wenye kimo cha m 8,080 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram.

Mlima Gasherbrum I

Uko katika mpaka wa Pakistan na China.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gasherbrum I kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.