Gasherbrum II
Gasherbrum II ni mlima wenye kimo cha m 8,035 juu ya usawa wa bahari.
Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram. Uko kati ya Pakistan na China.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gasherbrum II kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |