Gayaza
Gayaza ni mji katika Wilaya ya Wakiso katika mkoa wa Buganda huko Uganda.[1]
Mahali
haririGayaza uko katika Jimbo la Kyaddondo Kaskazini, Jimbo (Kaunti) la Kyaddondo. Mji huo ni takriban 2.5 kilomita, kaskazini - mashariki mwa Kasangati, kwenye barabara ya Kampala – Ziroobwe.[2]
Marejeo
hariri- ↑ Rising Star Ministries (10 Julai 2018). "Life in Gayaza, Uganda". Kampala: Rising Star Ministries Uganda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-23. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2018.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Globefeed.com (10 Julai 2018). "Distance between Kasangati, Uganda and Gayaza, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gayaza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |