Gayo wa Korintho
Gayo wa Korintho alikuwa Mkristo wa mji huo wa Ugiriki katika karne ya 1.
Mtume Paulo mwenyewe alimbatiza (1Kor 1:14) akawa mgeni wake miaka 57-58 (Rom 16:23).
Jina hilo linapatikana katika madondoo mengine ya Agano Jipya lakini hakuna hakika kama linahusu mtu huyohuyo.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gayo wa Korintho kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |