Gbadolite

Gbadolite ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Ubangi Kaskazini, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 113,807 (2004).

Ndio mji asili wa dikteta Mobutu Sese Seko ambaye aliuendeleza sana.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Coordinates: 4°17′N 21°01′E / 4.283°N 21.017°E / 4.283; 21.017

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gbadolite kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.