Wilaya ya Geita
Wilaya ya Geita ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Geita.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 807,619 [1] Msimbo wa posta ni 30118 [2]
Marejeo Edit
- ↑ Sensa ya 2012, Geita Region – Geita District Council
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Kata za Wilaya ya Geita - Mkoa wa Geita - Tanzania | ||
---|---|---|
Bugalama | Bugulula | Buhalahala | Bujula | Bukoli | Bukondo | Bulela | Bung'wangoko | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Ihanamilo | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kalangalala | Kamena | Kamhanga | Kanyala | Kasamwa | Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwamgasa | Lwenzera | Magenge | Mgusu | Mtakuja | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyanguku | Nyankumbu | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Senga | Shiloleli |