Gentjana Rochi (alizaliwa 17 Septemba 1994) ni mchezaji wa soka wa nchini Macedonia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Kuopion Palloseura ligi ya Naisen na timu ya taifa ya wanawake ya Macedonia Kaskazini.[1][2]

Gentjana Rochi

Maisha ya Awali

hariri

Rochi alizaliwa katika familia ya kabila la Kialbania huko Gostivar.

Marejeo

hariri
  1. Gentjana Rochi KuPS:n riveihin Ilihifadhiwa 12 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. Finnish Football Association. 2 April 2019. Retrieved 19 April 2019.
  2. Profile in UEFA.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gentjana Rochi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.