George Mlawa

Katibu Mstaafu wa Bunge la Tanzania

George Mlawa (amezaliwa Mkoa wa Iringa) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM na Katibu Mstaafu wa Bunge la Tanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Kalenga kwa mwaka 20002010. [1] [2] [3]

Marejeo hariri

  1. MFAHAMU KATIBU WA BUNGE MSTAAFU GEORGE MLAWA | KUZALIWA | KAZI | KUSTAAFU., iliangaliwa Juni 2023
  2. Former Clerk to the National Assembly: 'Lax oversight by MPs foments corruption', iliangaliwa Juni 2023
  3. Watumishi wa Ofisi ya Bunge wapewa mafunzo, iliangaliwa Juni 2023