Gerulfi (pia: Gerulfus, Gerolf; Merendree, leo nchini Ubelgiji, 740 – Merendree, 24 Novemba 748) alikuwa mtoto aliyeuawa na jamaa yake, msimamizi wake wa kipaimara aliyemuonea kijicho kwa jinsi alivyopokea kwa ibada sakramenti hiyo[1][2].

Kikanisa chake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba [3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "heiligen.net". heiligen.net. Iliwekwa mnamo 2013-09-19.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/71290
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.