Ghuba ya Suez

Upande wa kaskazini zaidi wa Ghuba ya Suez na mji wa Suez Katika ramani ya 1856

Upande wa kaskazini, mwishoni mwa Bahari ya Shamu kuna mto unaotokea baada ya mkono nchi wa Sinai au Rasi ya Sinai, na kusababisha kutokea kwa ghuba ya Suez au ((Kiarabu: خليج السويس‎; Khalīǧ as-Suwais) kwa upande wa Magharibi, na pia kutokea kwa ghuba ya Aqaba kwa upande wa mashariki. Ghuba ya Suez hutengenezwa na bonde dogo lakini linalokua linajulikana kama Gulf of Suez Rift, linalikadiriwa kuwa kwa kiasi cha miaka milioni ishirini na nane iliyopita.[1]. lianpanuka kwa kiasi cha300 kilometres (190 mi) kaskazini kwa kaskazinimagharibi. Hii husababisha kutenganisha kwa mji wa Suez na ingilio katika mfereji wa Suez. Katika miishio ya mkono nchi huu, ndio kuna mipaka ya bara la Afrika na Asia [2] Mlango wa mkono nchi huu upo katika eneo linaloaminika kwa na mafuta pamoja na gesi..[3]

JiografiaEdit

Mkono nchi wa Suez, unachukua upande wa Kaskazini-Magharibi wa bahari nyekundu au kwa jina la kueleweka Bahari ya Shamu kati ya Bara la Afrika mkwa upande wa magharibi na Mkono nchini wa Sinai. Kwa upande wa Mashariki mwa Misri. Ni mkono wa tatu wa bonde la ufa. Mkono wa pili ni ule wa ghuba ya Aqaba. Urefu wa ghuba hii kuanzia kuanza kwake katika eneo la Jubal hadi mwisho katika mji wa Suez ni km 195, na kwa upande wa upana huhuwa ni kati ya namba hizi.


MarejeoEdit

Viunga vya njeEdit


Kigezo:Orodha ya bahari

Kigezo:Mbegu-jio-Egypt