Giancarlo Martini (alizaliwa 16 Agosti 194726 Machi 2013) alikuwa dereva wa mbio za magari kutoka Italia. Alishiriki katika mashindano mawili ya Formula One yasiyo ya ubingwa akienda na Ferrari 312T kwa Giancarlo Minardi. Alikuwa mjomba wa madereva wa mashindano ya magari, Pierluigi Martini na Oliver Martini.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Minardi co-founder Martini dies". Inautonews. S.C.Pixelmedia SRL. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giancarlo Martini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.