Gianni Ambrosio
Gianni Ambrosio (amezaliwa Santhià, 23 Desemba 1943) ni askofu Mkatoliki nchini Italia.
Alipata upadrisho tarehe 7 Julai 1968.
Tarehe 22 Desemba 2007 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Piacenza-Bobbio.
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |