Gilgil ni mji wa Kenya, kaunti ya Nakuru katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Mojawapo wa wafugaji Gilgil
Kilimo cha umwagiliaji Gulgil
Gilgil
Nchi Kenya
Kaunti Nakuru
Idadi ya wakazi
 - 35,293

Wakazi walikuwa 35,293 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

TanbihiEdit

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.