Gimer (alifariki 13 Februari 932 BK) alikuwa askofu wa kwanza[1] wa Carcassonne (leo nchini Ufaransa)[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Acta Sanctorum Februarii, vol. II (Venezia 1735), pp. 672 e 897.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/40710
  3. René Wasselynck, BSS, vol. VII (1966), col. 516.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.