Gioacchino La Lomia
Gioacchino La Lomia (alizaliwa kwa jina la Gaetano La Lomia, lakini alijulikana kwa jina la kitawa la Gioacchino Fedele da Canicattì, 3 Machi 1831 – 30 Julai 1905) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Italia na mtawa wa Shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Venerable Gioacchino La Lomia". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rev. Gioacchino La Lomia". Find a Grave. 15 Septemba 2008. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |