Giuseppe Pancera
Giuseppe Pancera (Sona, 10 Januari 1901 – Castelnuovo del Garda, 19 Aprili 1977) alikuwa mwanariadha wa baiskeli wa Italia. Aliibuka mshindi wa pili katika Giro d'Italia ya mwaka 1928 na Tour de France ya mwaka 1929.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Pancera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |