Gloria Chinasa

Mwanasoka wa Nigeria

Gloria Chinasa Okoro (anajulikana kama Gloria Chinasa alizaliwa tarehe 8 Desemba 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama mshambuliaji. Alizaliwa nchini Nigeria anacheza katika klabu ya Guinea ya Ikweta..[1][2]

Gloria Chinasa Okoro
Amezaliwa 8 Desemba 1987
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji

Marejeo

hariri
  1. [1] Ilihifadhiwa 27 Agosti 2017 kwenye Wayback Machine. UEFA
  2. "FIFA Player Statistics: CHINASA". FIFA.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 29 Septemba 2018. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Chinasa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.