Gloria Hooper (mwanariadha)

Gloria Hooper(alizaliwa 3 Machi 1992) ni mwanariadha wa Italia ambaye alishinda medali ya fedha katika Michezo ya Mediterania ya mwaka 2018.[1] Alishinda mara saba ubingwa wa kitaifa. Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020 katika mbio za mita 200.[2]

Marejeo

hariri
  1. "NOC Medallist by Sport – Italy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-28. Iliwekwa mnamo 2024-11-19.
  2. "Athletics - HOOPER Gloria". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-14. Iliwekwa mnamo 2024-11-19.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Hooper (mwanariadha) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.