Gloria Kamba
Mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio wa Uganda
Gloria Kamba (alizaliwa Julai 18) ni raia wa nchini Uganda ambaye alikuwa mtangazaji wa redio wa kwanza wa kipindi cha asubuhi cha 88.2 Sanyu FM cha wiki kiitwacho "The Early Riser" na cha Jumapili asubuhi "The Intimate Connection"[1] Anatambuliwa kama mmoja kati ya nyota wa kike katika redio nchini Uganda.[2]
Gloria Kamba | |
Majina mengine | Gloria Nekesa |
---|---|
Kazi yake | Mtangazaji |
Katika miaka ya 1980, alijulikana kama Gloria Nekesa akiwa katika Namasagali College.
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". www.newvision.co.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2020-06-24.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ joomlasupport. "15 years of Sanyu". The Observer - Uganda (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-26. Iliwekwa mnamo 2020-06-24.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gloria Kamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
;