18 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 18)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Julai ni siku ya 199 ya mwaka (ya 200 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 166.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1552 - Kaisari Rudolf II wa Ujerumani
- 1853 - Hendrik Antoon Lorentz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 1918 - Nelson Mandela, rais wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1993
- 1937 - Roald Hoffmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 1948 - Hartmut Michel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 1982 - Nestroy Kizito, mchezaji mpira kutoka Uganda
Waliofariki
hariri- 1482 - Mtakatifu Simoni wa Lipnica, O.F.M., padri nchini Polandi
- 1566 - Bartolomeo Las Casas, O.P., askofu Mkatoliki, mmisionari na mwanahistoria kutoka Hispania
- 1932 - Jean Jules Jusserand, mwanasiasa kutoka Ufaransa
- 1950 - Carl Van Doren, mwandishi kutoka Marekani
- 1968 - Corneille Heymans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1938
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sinforosa na wenzake, Materno wa Milano, Emiliani wa Silistra, Filastri, Rufilo, Arnulfo wa Metz, Theodosia wa Kostantinopoli, Federiko wa Utrecht, Bruno wa Segni, Simoni wa Lipnica, Dominiko Dinh Dat n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |