Goderiki (pia: Galderic, Gaudericus, Gauderic, Gaudérique, Gaudry; Vilavela, leo nchini Ufaransa, 820 hivi – Saint-Martin du Canigou, 900 hivi) alikuwa mkulima maarufu kwa upendo wake na kwa kutetea haki za waliodhulumiwa na matajiri.

Mt. Goderiki mkulima.

Anakumbukwa pia kwa jinsi alivyomheshimu Mama wa Mungu[1].

Askofu Raimundi II wa Toulouse alimtangaza mtakatifu mwaka 990.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Jean-Louis Olive, « Saint Gaudérique et la pluie en Pyrénées catalanes : de la fertilité aux grandes inondations », Actes du XIIIe congrès CICAE-CNRS LACITO, Mexico, juillet-août 1993,‎ 1993, p. 391-415
  • Juan FERRANDO ROIG: Iconografía de los santos. Barcelona: Omega, 1950.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.