Golden Gate Bridge

Golden Gate Bridge ni daraja ambalo limepita juu ya Pwani ya San Francisco. Linatoka San Francisco linakwenda Marin County, katika jimbo la Marekani la California. Lilianza kutumiwa mnamo mwaka wa 1937. Lina urefu wa ft 9,266 (2,824 m). Wakati ujenzi wa daraja ulipokamilika, lilikuwa daraja refu kuliko yote duniani. Kwa sasa kuna madaraja manane ambayo ni marefu. Kwa watu wengi, huamini kwamba bado hili ndilo daraja zuri duniani.

The Golden Gate Bridge

HistoriaEdit

UjenziEdit

LeoEdit

Viungo vya NjeEdit