Goliathi
Goliathi (kwa Kiebrania גָּלְיָת, Golyat; kwa Kiarabu جالوت , Ǧulyāt) alikuwa jitu[1] la kabila la Wafilisti ambaye habari zake zinasimuliwa na Biblia na Kurani.
Kitabu cha Kwanza cha Samueli sura ya 17 kinasema kijana Daudi alishindana naye akitumia kombeo na mawe akafaulu kumshinda na kumuua. Habari hii ya kusisimua imejulikana sana ikileta ujumbe wa kwamba wasio na uwezo wa kwao kwa nia imara na kwa msaada wa Mungu wanaweza kushinda wanaowazidi.
Hata hivyo Kitabu cha Pili cha Samueli 21:19 kinamtaja Elhanan bin Jair kama muuaji wa Goliathi[2]. Tofauti hiyo inatokana na jinsi vitabu hivyo viwili vilivyotungwa kwa kukusanya mapokeo yoyote juu ya mwanzo wa Ufalme wa Israeli bila kuyachambua[3].
Tanbihi
hariri- ↑ Hays, J. Daniel (Desemba 2005). "Reconsidering the Height of Goliath" (Portable Document File). Journal of the Evangelical Theological Society. 48 (4): 701–14.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Halpern, Baruch (2003). David's Secret Demons: Messiah, Murderer, Traitor, King (kwa Kiingereza). Wm. B. Eerdmans Publishing. uk. 7-10. ISBN 9780802827975.
- ↑ The most widely accepted explanation is that the storytellers have displaced the deed from the obscure Elhanan to the more famous character, David. David's Secret Demons, Baruch Halpern, (2004), p. 8
- ↑ Encyclopedia of Islam, G. Vajda, Djalut
Marejeo
hariri- Campbell, Antony F.; O'Brien, Mark A. (2000). Unfolding the Deuteronomistic History. Fortress Press. ISBN 9781451413687.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Johnson, Benjamin J.M. (2015). Reading David and Goliath in Greek and Hebrew: A Literary Approach. Mohr Siebeck. ISBN 9783161540462.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Nelson, William R. (2000). "Goliath". Katika Freedman, David Noel; Myers, Allen C. (whr.). Eerdmans Dictionary of the Bible. Eerdmans. ISBN 9789053565032.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Person, Raymond F. (2010). The Deuteronomic History and the Book of Chronicles. Society of Biblical Literature. ISBN 9781589835177.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - West, M.L. (1997). The East Face of Helicon. Clarendon Press. ISBN 9780191591044.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Viungo vya nje
hariri- media kuhusu David and Goliath pa Wikimedia Commons
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Goliathi kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |